Dereva makini
Dereva makini ni yule anae fuata taratibu zote za usalama na sheria za barabarani katika…
Dereva makini ni yule anae fuata taratibu zote za usalama na sheria za barabarani katika kukiongoza chombo chake katika muelekeo ulio kuwa mzuri na kuto kuwasumbua watumiaji wengine wa barabara na asiweze kusababisha ajali za kizembe atakapo kuwepo barabarani
Dereva anatakiwa kufuata taratibu na sheria zote za barabarani vile vile kuwaheshimu watumiajiwengine wa barabara na kutoa vipaombele kwa watembea kwa miguu ilikujikinga na ajali zinazotokana na uzemba wa ajali pia kuzijua alama za dash bodi yako ili kuweza kuchukuwa hatua ya tahadhari kabla ya kuharibika kitu au kutokezea hitilafu ya aina yoyote na kuweza…
Madereva kutoka pemba wakiwa morogoro mkoani morogoro kupata mafunzo ya alama na sheria za barabarani ili kuendelea na ujuzi wao wa udereva na kuengeza bidii kwenye kazi zao za kila siku
mkuu wa maafisa usafirishaji akiwa pamoja na maafisa wengine wakiwa kwenye kongamano la madereva lililo fanyika morena hotel mkoani morogoro tarehe 23/10/2023
fundi feisail akitoa mafunzo kwa wanafunzi walioko tayari kuanza mafunzo katika chuo cha alasaa kilichokuwepo mbuzini unguja
Madereva na mafundi wakichangia damu katika hospitali ya kivunge iliko kaskazini unguja na wakitoa swadaka zao katika hospitali ya Makunduchi,Kidonge chekundu,Mnazi mmoja pamoja na Kivunge vilevile walikuwa wakifanya usafi katika hospitali hizo 0U3A8057
Mwanachama lazima awe dereva au fundi wa serikali na aweze kuchangia kikamilifu pesa za akiba na amana kama utaratibu na sheri zachama zilivyo elekeza