Madereva kutoka Zanzibar
Madereva kutoka pemba wakiwa morogoro mkoani morogoro kupata mafunzo ya alama na sheria za barabarani ili kuendelea na ujuzi wao wa udereva na kuengeza bidii kwenye kazi zao za kila siku
Madereva kutoka pemba wakiwa morogoro mkoani morogoro kupata mafunzo ya alama na sheria za barabarani ili kuendelea na ujuzi wao wa udereva na kuengeza bidii kwenye kazi zao za kila siku
mkuu wa maafisa usafirishaji akiwa pamoja na maafisa wengine wakiwa kwenye kongamano la madereva lililo fanyika morena hotel mkoani morogoro tarehe 23/10/2023
fundi feisail akitoa mafunzo kwa wanafunzi walioko tayari kuanza mafunzo katika chuo cha alasaa kilichokuwepo mbuzini unguja
Madereva na mafundi wakichangia damu katika hospitali ya kivunge iliko kaskazini unguja na wakitoa swadaka zao katika hospitali ya Makunduchi,Kidonge chekundu,Mnazi mmoja pamoja na Kivunge vilevile walikuwa wakifanya usafi katika hospitali hizo 0U3A8057
Mwanachama lazima awe dereva au fundi wa serikali na aweze kuchangia kikamilifu pesa za akiba na amana kama utaratibu na sheri zachama zilivyo elekeza