Alama za magari kwenye dash boad

Dereva anatakiwa kufuata taratibu na sheria zote za barabarani vile vile kuwaheshimu watumiajiwengine wa barabara na kutoa vipaombele kwa watembea kwa miguu ilikujikinga na ajali zinazotokana na uzemba wa ajali pia kuzijua alama za dash bodi yako ili kuweza kuchukuwa hatua ya tahadhari kabla ya kuharibika kitu au kutokezea hitilafu ya aina yoyote na kuweza kuchukuwa hatua

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

up