Maderereva na Mafundi wa Serikali wa kichangia Damu
Madereva na mafundi wakichangia damu katika hospitali ya kivunge iliko kaskazini unguja na wakitoa swadaka zao katika hospitali ya Makunduchi,Kidonge chekundu,Mnazi mmoja pamoja na KivungeĀ vilevile walikuwa wakifanya usafi katika hospitali hizo 0U3A8057